HomeMICHEZO SINGIDA BLACK STARS YAMSIMAMISHA KAZI PATRICK AUSSEMS bySR SPORTS TZ -November 25, 2024 0 Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha kazi Kocha mkuu Patrick Aussems na msaidizi wake Denis kitambi kufuatia mwenendo usioridhisha. Timu itakuwa chini ya Ramadhan Nswanzirumo na Muhibu Kanu kwa wakati ambao hawatokuwa kazini Makocha hao.
Post a Comment