BEACHIKHA AOMBA KUONDOKA SIMBA



Kocha wa klabu ya Simba, Abdelhak Benchikha ameomba kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na sababu za kifamilia lakini pia malengo yake ni kubeba ubingwa wa Afrika kitu ambacho inasemekana hakioni na pia Ligi yetu haoni kama inaweza kumpa thamani.

 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post