“Sasa hivi sina mahusiano yoyote na Eng. Hersi, hatujawasiliana inafika miezi miwili au mitatu [..] Yeye si ndiye alisema mimi ni mwanachama, sasa namfuata nimwombe kwamba nataka nini? Lazima mtu thamani yako aijuye yeye. Hatuna mahusiano mabaya lakini hatuna ule ukaribu wa zamani. Zamani mimi na yeye kwa siku tunapigiana mara 30.” – Haji Manara, Mwanachama Yanga SC
MANARA ALIA NA RAIS WA YANGA ENG. HERSI
bySR SPORTS TZ
-
0

Post a Comment