GAMONDI ACHAFUA HALI YA HEWA YANGA



Kocha Miguel Gamondi amefuta utambulisho kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram uliokuwa ukimtambulisha kama kama Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga SC.



Gamondi amefuta utambulisho huo kipindi hiki kukiwa na tetesi za kufutwa kazi kufuatia kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu ya NBC.


Yanga ilianza kupoteza mechi ya kwanza dhidi ya Azam FC kwa kufungwa bao 1-0 kisha kufungwa mabao 3-1 na Tabora United, mechi zote wakipoteza katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi.




 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post