Wengi uamka siku ya Jumatatu wakiwa na sura mbaya




Utafiti uliofanywa nchini Marekani unaonyesha kuwa watu wengi uamka wakiwa na sura mbaya siku ya Jumatatu, tofauti na siku nyengine za wiki.




Asilimia 46 ya Wanawake hawapendi kujiangalia kwenye kioo siku ya Jumatatu wakidai kuwa sura zao hazivutii siku hiyo.

 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post