Simba watamba bado wana makombe mawili



Mkeka wa Ligi Kuu Bado unapumua na Bado kesho KVZ ya Zanzibar itaialika Simba Sc kwenye kipute cha kuwania ubingwa wa Kombe la Muungano. Mchezo huo utapigwa saa 2:15 usiku katika uwanja wa Amaan Zanzibar utaonyesha taswira kwa Simba kama bado wanaweza kutimua vumbi Kwenye michuano hiyo na kulisaka Kombe la Muungano.


 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post