Michael Olise awagombanisha Man United na Chelsea


Chelsea wanajipanga kuingia kwenye vita na klabu ya Manchester United katika kupata saini ya Winga wa Klabu ya Crystal Palace Michael Olise katika dirisha kubwa la Usajili.

 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post