“UKINIAMBIA Simba ina mabeki dhaifu nitakataa, sio kila wakati inaporuhusu mabao sana shida inakuwa ni mabeki wa kati. Shida ya Simba kikosi hakijaweza kucheza kwa uwiano mzuri, timu haina viungo halisi wazito wanaoweza kucheza kwa ubora mbele ya mabeki wa kati.. Simba inahitaji wachezaji wenye akili kubwa kurudisha ubora wa kikosi,” kocha wa zamani wa Simba, Roberto Oliveira.
Imeandikwa na Mbanga B.

Post a Comment