Bongofive kupitia kwenye kipitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO el_mando_tz leo amezungumzia Album ijayo ya Jay Melody ya Therapy.
el_mando_tz anasema kwa namna wengi wanavyoijua quality ya muziki wa Jay Melody huenda tukashuhudia moja ya album bora kabisa.
Anaongeza kuwa licha ya Jay Melody kuanza kufanya vizuri kitu cha muhimu anahitajika kutafuta meneja wa Kimataifa.
El_mndo_tz amemtolea mfano Sallam SK na kusema ni mtu muhimu sana kuusukuma muziki wake Kimataifa.

Post a Comment