Tarehe 27 April 1993 ilikuwa siku ya simanzi kwa Wazambia wote na Waafrika kwa ujumla. Siku hiyo ndege ya kijeshi ikiwa inasafirisha wachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia kipindi hiki iitwa KK11, kocha na maafisa wengine, ilianguka katika bahari ya Atlantic pwani ya jiji la Libreville nchini Gabon na wote kuangamia.
Nahodha wa timu hiyo wakati huo alikuwa Kalusha Bwalya ambaye baadaye alirithi mikoba ya kuwa kocha na miaka ya baadaye kuwa Rais wa Shirikisho la Soka.
Kalusha Bwalya alinusurika katika Ajali hiyo kwa sababu alikuwa anachezea soka la kulipwa nchini Uholanzi katika klabu ya PSV na alikuwa katika mipango ya kusafiri kwa usafiri binafsi kufika Senegal kukutana na wenzake.
Mchezaji mwingine aliyepona ni Charles Musonda ambaye wakati huo alikuwa anachezea klabu ya Anderlecht nchini Ubelgiji, kwa sababu alikuwa na majeraha hakutajwa kwenye kikosi hicho.
Kikosi hicho kilichokuwa na wachezaji wenye vipaji vya kipekee mwaka 1988 wakati wa michuano ya Olimpiki jijiji Seoul nchini Korea Kusini iliwafunga Italia mabao 4-0.
Mwaka 2012 wakati wa michuano ya mataifa bingwa nchini Gabon kulikoanguka ndege hiyo, kikosi cha KK11 ilishinda taji hilo katika fainali iliyochezwa jijiji Libreville baada ya kuichapa Cote D'voire kwa changamoto ya mikwaju ya penati 8-7.
Ndege hiyo aina ya DHC-5D Buffalo ikiwa na namba za usajiri (AF-319) ilianguka na kuzama baharini na sababu kuu ikiwa ni matatizo ya kiufundi ambapo kwa mujibu wa uchunguzi uliofanya na jeshi la Gabon
Ndege hiyo ilipata hitilafu iliyosababisha moto kwenye moja ya Injini zake hali iliyomlazimu rubani Kanali Feston Mhone kuizima injini hiyo, hata ivyo alikosea na kuizima injini nyingine ambayo ilikuwa nzima na kupelekea ndege hiyo kuanguka katika bahari ya Atlantic.
Waliofariki katika ajali hiyo ni

David Efford Chabala (kipa)
John Soko (beki)
Whiteson Changwe (beki)
Robert Watiyakeni (beki)
Eston "King Yellowman" Mulenga (beki)
Derby Makinka (kiungo)
Moses Chikwalakala (kiungo)
Wisdom Mumba Chansa (kiungo)
Kelvin “Malaza” Mutale (mshambuliaji)
Timothy Mwitwa (mshambuliaji)
Numba Mwila (kiungo)
Richard Mwanza (kipa)
Samuel Chomba (beki)
Moses Masuwa (mshambuliaji)
Kenan Simambe (mshambuliaji)
Godfrey Kangwa (kiungo)
Winter Mumba (beki)
Patrick “Bomber” Banda (kiungo)
BENCHI LA UFUNDI
Godfrey “Ucar” Chitalu (Kocha Mkuu)
Alex Chola (Kocha Msaidizi)
Wilson Mtonga (daktari)
Wilson Sakala (daktari)
WENGINE
Michael Mwape (Mwenyekiti wa FAZ)
Nelson Zimba (Mtumishi wa Umma)
Joseph Bwalya Salim (Mwandishi wa habari)
WATUMISHI
Kanali Fenton Mhone (rubani)
Luteni Kanali Victor Mubanga (rubani)
Kanali James Sachika (rubani)
Afisa Mdhamini Edward Nambote
Koplo Tomson Sakala (wakili)

Post a Comment