Klabu ya Liverpool imefikia makubaliano na Feyenoord juu ya kumchukua mkufunzi Arne Slot kwa ajili ya kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Jürgen Klopp ambaye ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu.
Slot (45) anatarajiwa kuanza kazi kama kocha mkuu ya Liverpool kuanzia msimu ujao baada ya Feyenoord kuafikiana na Liverpool juu ya fidia ya kumwachia kocha huyo raia wa Uholanzi.
Chanzo : Fabrizio Romano

Post a Comment