RASMI : CLATOUS CHAMA NI WANANCHI

 



Klabu ya Yanga yathibitisha kunasa saini ya aliyekuwa kiungo nyota wa Simba, Clatous Chota Chama.



Ulikuwa ni uvumi wa muda mrefu na sasa ni rasmi Chama atahudumu Yanga SC baada ya kumkosa 2016 walipotaka kumsajili yeye na Justine Zulu.



Uvumi wa Chama kwenda Yanga ulianza tangu msimu uliopita lakini leo Yanga wamemtangaza kuwa nyota wao mpya.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post