Kama tutaendelea kufungwa hivi tutakuwa tuna hali mbaya – Pochettino



Baada ya kichapo cha mabao 5-0 walichokipokea Chelsea kutoka kwa Arsenal kimemuibua kocha wa Chelsea, Mauricio Pochettino na kusema iwapo kikosi hicho kitaendelea kupokea kichapo basi hawastahili kucheza michuano mikubwa ya Ulaya (Klabu Bingwa & Europa Ligi).


 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post