Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) ya kumsajili kiungo mshambuliaji wao, Franck Tiesse.
Nyota huyo raia wa Ivory Coast, amesaini mkataba wa miaka miwili utakaoanza kuutumikia kuanzia msimu ujao 2024/25.
Tiesse akiwa Stade Malien aliisaidia klabu hiyo kufika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu.
Tiesse anakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao baada ya kumsajili Mlinzi wa kati, Yoro Mamadou Diaby kutoka akademi ya Yeleen Olympique ya Mali.

Post a Comment