Klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika Kusini wametuma ofa kwa klabu ya Yanga wakihitaji huduma ya kipa namba moja, Djingui Diarra.
Yanga ipo tayari kumuuza kipa huyo wa kimataifa wa Mali mwenye umri wa miaka 29 endapo tu klabu ya Kaizer watafikia kiasi ambacho wanakitaka.
Mabingwa hao mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wanamtazama mlinda mlango Ley Matampi wa Coastal Union kama mbadala Diarra atakapo ondoka klabuni hapo.

Post a Comment