Tetesi zinaeleza kuwa uongozi wa Simba SC unafikiria kuanza mazungumzo na mwalimu wa klabu ya Atlético Petróleos de Luanda ya Angola, Alexandre Santos raia wa Ureno kwenda kurithi nafasi iliyoachwa wazi na kocha Abdelhak Benchikha.
Kocha huyo amekuwa na mafanikio makubwa sana ndani ya Atlético Petróleos de Luanda toka alivyojiunga nayo mwaka 2021 ambapo ametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Angola maarufu kama Girabola akibeba Angola Cup mara mbili.

Pia Msimu huu amemaliza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika bila kuruhusu bao hata moja.

Post a Comment