Mtangazaji maarufu wa mpira wa miguu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Ramadhani Swedy Mwinyi amefariki dunia.
Swedy Mwinyi amefariki dunia leo Mei 12, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili - Mloganzila iliyopo Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Post a Comment